8:00 AM
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari
leo katika Ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM-Lumumba Dar es
Salaam. Alikuwa akitoa ufafanuzi kuhusu masuala yahusuyo Mchakato wa
Katiba mpya na kusema "tunaiheshimu tume,tunaimani nayo na tunaahidi
ushirikiano wa kutosha katika mchakato wa Katibu"
0 comments:
Post a Comment