Kamanda
wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Suleiman Kova akitoa hotuba yake
wakati akizindua mradi wa ulinzi ngazi na familia mkoa wa Kinondoni
Tarafa ya Kinondoni leo Oktoba 11-2013 kwenye viwanja biafra jijini Dar es
salaam,pia amewataka wananchi kutoa taarifa kwenye jeshi la polisi watu ambao
wanaishi nao wasikubali kukaa na watu ambao hawajui kazi wanazofanya.
Kamanda
wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Camillus Wambura akielezea mikakati
wanaopambana na wahalifu pamoja na kushirikiana na Polisi jamii.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es
Salaam Suleiman Kova
akimpa mkono wa pongezi Katibu wa Kampuni ya Suppot Group Bw,Coles Scott baada
ya kuchangia pikipiki 4 aina ya Honda kwaajili ya matumizi ya Polisi jamii.
Bendi ya Polisi ikitoa
burudani na miondoko ya Makhiri khiri wakati wa uzinduzi huo.
Kikosi cha ulinzi shirikishi Polisi jamii
wakipita kwa mwendo wa pole mbele ya mgeni rasimi wakati wa uzinduzi wa mradi wa
ulinzi ngazi na familia mkoa wa Kinondoni Tarafa ya Kinondoni leo Octoba
11-2013 kwenye viwanja biafla jijini Dar es salaam.
Viongozi wa Polisi Kanda Maalumu
ya Dar es Salaam Suleiman
Kova (watatu kutoka kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na wakurugenzi wa
makampuni ya ulinzi pamoja na maofisa wa polisi.
Wanchi mbalimbali pamoja na viongozi
wengine wakishuhudia uazinduzi huo.
PICHA
NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE DAR ES SALAAM
0 comments:
Post a Comment