Emmanuel Simwinga aka Izzo Bzness anaendelea kujikita katika
biashara zaidi, baada ya kufungua Internet Cafe na Stationary nyumbani
kwao Mbeya, sasa ameongeza kitega uchumi kingine kwa kufungua
barbershop.
Kupitia Instagram hivi karibuni Izzo B amepost picha ya barbashop yake na kuisindikiza na ujumbe aliouelekeza kwa wateja wake (potential customers).
"Wanafunzi wa TEOFILO KISANJI UNIVERSITY(TEKU) Mbeya na Wakazi wa Maeneo Ya Jirani Karibuni sana IZZO BIZNESS BARBER SHOP Kuanzia wiki hii Tunaanza Kazi Rasmi...Shukrani Sana kwa Support Yenu...Ipo Jirani na IZZO BIZNESS INTERNET CAFE & SECRETARIAL SERVICES...KARIBUNI SANA...MUNGU NI MWEMA...#bless."Aliandika Izzo.

0 comments:
Post a Comment