Davido (Nigeria)
Wasanii wa kimataifa wanatarijiwa
kutumbuiza katika fainali za tamasha la Serengeti Fiesta zitakazofanyyika
jijini Dar es Salaam Oktoba 26, mwaka huu.
Awali wasanii wawili kutokana katika
nchi za Nigeria na Jamaica, ambao ni Davido (Nigeria), Alaine (Jamaica) na J
Martins.
Alaine (Nigeria).
Leo kupitia Clouds Fm wasanii
wengine wawili wamethibitisha kukinukisha katika Jukwa la Fiesta, wasanii
waliothibitisha ushiriki wao ni Mohombi pamoja na Inyanya kutoka nchini Nigeria.
Mohombi
Wasanii wengine ambao watashiriki
katika tamasha hilo ni pamoja na Fid Q, Weusi, Young Killer, Kala Jeremiah,
Nikki Mbishi, Stamina, Godzilla, Quick Rocka, Country Boy, Cliff Mitindo,
Mabeste, Ney Wa Mitego, Mwana FA na
AY, Kala Pina, Chidi Benz, Gosby 'King of Swaghili', Darasa,.
Wengine ni Ommy Dimpoz, , Rich
Mavoco, Makomando, Lina, Shilole, Snura, Recho, Cassim, , Juma Nature, Ney wa
mitego, Madee, Nikki, , Linex, Shettah, H Baba, Samir, Afande Sele, Baba
Levo, Peter Msechu, , Mirror, Menina, Walter, Nuhu, , Blue, Young D, Dully,
Amini, Christian Bella, TID, , Ney Lee, Ben Pol, Vanessa, Chege na Temba,
Diamond.
0 comments:
Post a Comment