Hivi
ndivyo ilivyo sasa Bar maarufu ya SAMAKI SAMAKI iliyokuwa ikivuma sana
jijini Dar es Salaam. Bar hii iliyokuwa maeneo ya Mbezi Beach jijini
imefikwa na janga la moto hii leo majira ya saa 3:15 asubuhi wakati moja
ya makarandinga yaliyokuwa yakibomoa nyumba zilizopo kando ya barabara
ya Bagamoyo (mkono wa kushoto ukitokea Mwenge) kupisha mradi wa maji wa
DAWASCO.
Kwa
mujibu wa Mashuhuda wa tukio hilo wanasema kuwa chanzo cha moto huo ni
Buldoza lililokuwa likivunja kusababisha moto kupitia bomba lake la
moshi ambalo lilikuwa limeshika katika makuti na kushika moto.
0 comments:
Post a Comment