Kampuni
ya Sony Picture imeachia kipande kidogo cha movie mpya ya Chris Brown inayoitwa
'Battle of the Year' ambayo inaonyesha uwezo wa hali ya juu wa kuvunja. Ndani
yake Chris anaonekana akiwa na kundi lake wakipimana uwezo nani mkali wa
kuvunja. Movie hiyo itaachiwa rasmi September 13, mwaka huu.
0 comments:
Post a Comment