Diva
Loveness a.k.a Diva The Bawse ameachia Teaser(Kionjo) ya wimbo wake mpya 'Jicho
la Huba' anaotarajia kuuachia hivi karibuni akiwa amemshirikisha Stereo, and
guess what..Prezzo atasikika pia kwenye hii ngoma iliyopikwa na Lamar.
'Jicho
la Huba' ni wimbo unaofuata baada ya ule wa kwanza wa 'Pokea Simu' na 'Mgonjwa
kwa Raha Zako'








0 comments:
Post a Comment