Tuesday, February 12, 2013

NJE YA BOX - NIKKI WA PILI FT JOH MAKINI G NAKO AUDIO COMING SOON

 
Hii ni ngoma ambayo Nikki wa Pili anatarajia kuiachia Valentine hii , ngoma inakwenda kwa jina la NJE YA BOX ( Nje ya kumi na nane) Ni bonge moja la wimbo linafanywa na mzee mzima NahRill na Vocal mixed inafanywa na Mtu mzima Chizan Brain.......A City is in The House .

0 comments:

Post a Comment