
ITCH DJ ACADEMY
PO BOX
DAR ES SALAAM
TANZANIA
TEL: + 255/ 0712 580 859
HII
TAARIFA MAALUM KUTOKA TAASISI BINAFSI AMBAYO ITAKUWA INATOA MAFUNZO MAALUM KWA
WATU WOTE WENYE UMRI KUANZIA MIAKA 18 AMBAO WANANIA YA KUWA MA-DJ MAARUFU
HAPA NCHINI
KOZI TUNAZOFUNDISHA:
INTRODUCTION TO THE DJ INDUSTRY (KOZI YA 1)
1.Set up Machine
2.Mixer Operation
3.Pioneer Operation
4.Basic Mixing
5.Beat Count
6. Beat to Beat mixing
7.Acapella Mixing
Kozi hii mwanafunzi atajifunza kwa muda wa miezi mitatu (3)
ADVANCE TO
THE DJ INDUSTRY ( Kozi ya 2)
1. Sound and Level
2. Turntable Operation
3. Perfect mixing
4. Scratching
5. Creative mixing and Techniques
Kozi hii mwanafunzi atajifunza kwa
muda wa miezi miwili (2) baada ya kumaliza kozi ya kwanza ya Introduction to
the dj I ndustry.
Kozi zote mbili Introduction to
the dj industry na Advance to the dj industry zitafundishwa kwa muda wa miezi
sita (6).
Fomu ni Tsh 10,000/= tu na
utaratibu wa ada za kozi zote utapatikana kwenye form.
Walimu watakao fundisha
DJ ZERO
DJ PQ
DJ D OMMY
Na wengine wengi
Mafunzo yataanza tarehe 4 feb 2013
Email; itchdjacademy@gmail.com
0 comments:
Post a Comment