Track:
Mwaga Radhi
Artist:
Fidodido
Studio:
A.M Records
Producer:
Bob Manecky.
Fido ni msanii ambaye ameanza game kitambo sana na alianza safari yake ya kueleweka baada ya kujiunga kwenye crew ambayo anaitumikia mpaka sasa ya mexicana lacavela, na kushiriki kwenye ngoma za kundi na za wasanii solo walioko kwenye kundi ila mara baada ya kuhitaji
kusimama yeye kama yeye ndipo aliingia A.M REC na kufanya track ilyoweza kumtambulisha kwenye ulimwengu wa mziki iliyotambulika kwa jina la NESA NESA aliyomshirikisha msanii kutoka tip top conection TUNDA MAN. hii ni nyimbo yake ya pili ambayo ameifanya am rec kwa mara nyingine iliyoandaliwa na mdogo wake MANECKY anaefahamika kwa jina la
BOB! ni track ambayo official day released ni 22 dec 2012 kwenye mitandao na club zote za mjini itakuwa released tar 23 dec 2012 na J3 itakuwa ofisial kwenye media zote Tanzania
FIDO DIDO ANAHITAJI SAPORT YAKO YA KILA HALI ILI AWEZE KUWA
INTERNATIONAL ARTIST ILI AWEZE KUIPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA NDANI
NA NJE YA NCHI.
KWA INTERVIEWS, SHOWS AU USHAURI WASILIANA NAMI KUPITIA

SIMU
0717699555 FIDODIDO
0652894871 BAGHDAD
0652894871 BAGHDAD
EMAIL
zigzagfidodido@gmail.com
Mkuu link imezngua vp napataje iyo ngoma tafadhal
ReplyDelete