Wanamitindo
wote wenye ndoto za kukuza vipaji vyao mnaombwa mjitokeze siku ya tarehe
18/11/2012 siku ya jumapili saa nne asubuhi katika hoteli ya Lamada iliyopo
maeneo ya Msimbazi ili kufafanyiwa usaili wa kupata tiketi ya kuingia Unique
Model a.k.a “gold room”.
Ewe mwanamitindo usikose nafasi hii hadimu ya kutimiza
ndoto zako za kuwa mwanatindo maarufu na atakaepata dili kibao za mitindo ndani
na nje ya nch, jitokeze ni wakati wako sasa.
Unique
Model 2012 imedhaminiwa na Giraffe Ocean
View Hotel, DTV, Gazeti la Tanzania Daima,Mashujaa Investiment Ltd, Sophernner
Inestiment Co Ltd, K.D. Surelia, Young Don Records, KIU Investiment, Oriental
Bureau De Change, J’ s Professional Ltd, Lamada Apartments & Hotel, Wajanja
Club Blog and Unique Entertainment Blog







0 comments:
Post a Comment