H.baba ametuletea exclusively kipande cha wimbo wake uitwao ‘Nataka
Kulewa’ ambao amemshirikisha Q-Chief. Msanii huyo anamshutumu Diamond
kuiba wazo na jina la wimbo wake huo katika wimbo wake mpya wenye jina
kama hilo.
Tumefanya naye mahojiano ambayo utayaangalia muda mfupi ujao kupitia
hapa hapa lakini kwa sasa usikilize wimbo huo hapa ambao bado ni demo.







0 comments:
Post a Comment