Wednesday, November 21, 2012

Ommy Dimpoz Kuweka Maisha Yake Kwenye 'Documentary'

The Hit maker wa ‘Nai Nai’ na ‘BaadaeOmmy Dimpoz ‘Super Handsome’ amesema kwa sasa yuko kwenye harakati za kuandaa Documentary itakayoelezea maisha yake halisi.
Ommy Dimpoz aliyatiririsha hayo wakati akifanya interview na TAGz ya DTV ambapo amesema kuwa ameshaanza kushoot baadhi ya scene za Documentary hiyo.

“Ni kweli na tayari nimeshaanza kushoot baadhi ya vipande kadhaa ya Documentary hiyo, ambapo ndani yake kutakuwa na watu watakaomulezea Ommy Dimpoz wakiwemo ndugu zangu” alisema Ommy Dimpoz.

0 comments:

Post a Comment