Msanii wa Hip Hop nchini anajulikana kwa jina na Izzo B, baada ya duka
lake la nguo kufanya vizuri huko Mbeya sasa amekuja na duka lingine ambalo
litafunguliwa siku za karibuni maeneo ya Teku University Mbeya na duka hilo
limepewa jina la Izzo Bizness Internet Cafe and Stationary.







0 comments:
Post a Comment