Thursday, November 15, 2012

FACEBOOK THANG at SYNERGY LOUNGE Oysterbay

 
Ni Ijumaa Nyingine Tena (Ijumaa Hii Tarehe 16.11.2012) Tunakutana SYNERGY LOUNGE Oysterbay Katika Facebook Thang SIO Kuchat Tena BALI Tunakutana Ku Dance Kufurahi Na Kujuana Zaidi Face To Face,Coktails Za Kutosha Kutoka Pushkin vodka,Julio Mtanzania Mshiriki Wa BBA Atakuwepo Kutambulisha Wimbo wake Mpya,Kutakuwepo Pia Na Dance Performance Ya "Tridashanz" Watoto Wazuriii Kutoka Mbezi Beach,Kama Kawa Kama Dawa Dj Steve B/Skills,Dj Bike N Dj Dave In Full Effect Kusababisha Mwanzo Mwisho,Kiingilio Ni Sh 10,000 Kuanzia Saa 3 Usiku...Nuff Said Kama Vipi Tokelezea Tuoneeee

0 comments:

Post a Comment