Wednesday, November 14, 2012

CHEGGE KUJA NA MOVIE YA MWANAYUMBA

Msanii wa Bongo Fleva kutoka kundi la TMK wanaume Chegge Chigunda ambaye anazidi kufanya vizuru kwa hapa Tz mpaka East Africa kwa ngoma zake kali kama Mwanayumba,Kinomanoma,Mikanda,Mkono mmoja na ngoma nyingine kali.

Habari kutoka kwa kutoka kwa msanii huyu ni kwamba aliamua kuweka wazi kwamba kwa sasa japokuwa  wameshatoka ngoma yao mpya ya kundi inayokwenda kwa jina la Tutaonekanaje na wameshaitoa katika vituo mbalimbali sasa habari nzuri nyingine kutoka katika kundi ili ni kwamba wamepanga mikakati ya kufanya movie yao mpya inayokwenda kwa jina la Mwanayumba.Kwa hiyo wale mashabiki wa Tmk Wanaume Family dzain kama inawahusu hii.

0 comments:

Post a Comment