Thursday, November 15, 2012

BaabKubwa Reloaded Party @ New Maisha Club

 

Jumapili hii ndani ya New Maisha Club, BaabKubwa Entertainment itakuletea Baabkubwa Releoded Party ambayo itahusisha uzinduzi wa muonekano mpya wa BaabKubwa Magazine na kutimiza miaka 8 tangu kuanzishwa.
 Kutakuwa na show kali kutoka kwa Wasanii BOB JUNIOR, MR BLUE, RICH MAVOKO huku wakisindikizwa na DAYNA, Sam wa Ukweli, BAGHDAD, Meddy, WARWILL na wengine wengi.
 Pia kutakuwa na Countdown Cover kumi {10} bora za BaabKubwa Magazine tangu kuanzishwa kwake utaweza kuziona live siku hiyo.
 Uzinduzi wa Magazine mpya na Orijino Komedi.
Bila kusahau show itakuwa hosted by ADAM MCHOMVU “Baba Jonii’ from XXL ya Clouds Fm.
Zaidi kutakuwa na Red Carpet kwa ajili ya Masuper Star wa Bongo Movies na Bongo Flavour ambayo itaanza mapema mida ya saa 5 usiku ikifuatiwa na show kutoka kwa wasanii mapema kuliko show zote zilizowahi kufanyika ndani ya New Maisha Club.
NOTE: Entrace Tsh 10,000/= na ukiingia utapewa BaabKubwa Magazine mpya {Issue 72} bureee….. Itakayotoka siku hiyo. TOFAUTI NA SJOW NYINGINEBAABKUBWA RELOADED PARTY ITAANZA MAPEMA. Usikoseeeeeeee

0 comments:

Post a Comment