Tuesday, October 23, 2012

Albamu ya Mansu-Li Kudondoka Kitaani Weekend Hii


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgGhm_PisgSU1ycoah4GhsufpY8JdHVmmdTYAprsCoM5F1hqKMoxVpsxWr5TKcD-openJnUGHRs7y_NdObLsuPiaHAcsXPf-Jp0yrB3tW8hweJNpg6YdrQ6jups_vjpaG_TIj9n9l0gj8A/s640/IMG_3126.JPG
Album mpya ya msanii wa hip hop nchini Mansu-Li inayoitwa KINA KIREFU inatarajiwa kuwa kitaani weekend hii na itakuwa ikisambazwa na yeye mwenyewe. Kama wewe ni shabiki wa Mansu-Li na unapenda kazi zake basi basi piga namba hii +255 784 351667 ili kuipata album hii mpya yenye mawe makali sana. Mimi nimeshajichukulia copy yangu na wewe jichukulie yako ili kumuunga mkono maisha yaendelee.

0 comments:

Post a Comment