Friday, September 21, 2012

NICK MINAJ SOON ADVERTISE NEW PERFUM 'PINK FRIDAY'

        
Ni moja kati ya wasanii ambao wanafanya vizuri sana katika upande wa muziki nchini American namzungumzia msanii anayetokea katika kundi la YMCMB huyu si mwingine anafahamika kwa jina la Nick Minaj.Japokuwa juzi juzi alipata shavu la kuchanguliwa kuwa judge rasmi  kwenye mashindano ya American idol sasa habari ni kwamba msanii huyu siku za hivi karibuni hata zindua perfume yake mpya ambayo ameipa jina la "PINK FRIDAY" pamoja na wig,lipstic mpya ambazo amezitengeza kwa ajili ya mashabiki wake.Nick minaj akuishia tu hapo kwani alifunguka na kusema maana ya PINK FRIDAY huyu hapa anafunguka
“Pink Friday is a celebration of my life at this moment; it is a reflection of me as a creator, and an expression of me as a woman.  I know my Barbz will connect with and appreciate each aspect – from the name, to the outrageous bottle design, to the vibrant colors that create their own song.  Pink Friday shows off my personality and style; it’s exciting to express my voice through another dimension.”

The deluxe size bottle holds an extra special treat for all her “barbz:” an original ”Nicki Minaj” nameplate necklace. And if that isn’t enough, Nicki will celebrate her fragrance launch with an appearance at  Macy’s Herald Square in NYC on Monday, Sept. 24 at 3:30 p.m. The first 300 barbz to purchase Nicki’s Pink Friday Exclusive Gift Set Bundle will have the opportunity to meet the lady of the day, and receive an autographed limited edition commemorative ad.

0 comments:

Post a Comment