Muigizaji
mkongwe nchini Mzee Small Wangamba ni mgonjwa sana anahitaji maombi na sala
zenu, pia anahitaji msaada wako wa hali na mali wa chochote kitu kwa ajili ya
kupatiwa matibabu. Kama una chochote tafadhali fika katika kampuni ya Global
Publishers iliyopo barabara ya Shekilango Bamaga waone wahusika na mchango wako
utakuwa umemfikia mzee wetu.
0 comments:
Post a Comment