Msanii wa filamu
na muziki Baby Madaha,
amendoka ghafla wakati akishoot filamu yake mpya na kupoteza fahamu na
kukimbizwa haraka katika hospitali ya Amana ambapo amelazwa hospitalini hapo,
na habari zinadai kuwa msanii huyo anasumbuliwa na ugonjwa wa kuanguka.
Chanzo cha habari ambacho kipo katika hosptali hiyo kilidai kuwa msanii huyo kwa sasa huwezi kuzungumza kwani bado hali yake si nzuri na amepewa muda wa kupumzika bila kufanya kazi yoyote akiwa chini ya usimamizi.
Hata hivyo kwa mujibu wa daktari ambaye anamtibu Madaha alitoa taarifa kuwa msanii huyo wakati anapiga picha za filamu hiyo alikuwa hajala chakula chochote badala yake alitumia kinywaji kikali kitu ambacho kiliamsha tatizo lake lake.
Kwa mujibu wa madaktari wanadai kuwa ni kweli Madaha anasumbuliwa na ugonjwa wa kuanguka lakini pia tatizo liilichangiwa na unywaji wa pombe kali kabla hajala hivyo kwa sasa bado anafanyiwa vipimo ili kuona kama kuna tatizo lingine.

0 comments:
Post a Comment