Jaffarai |
MSANII Jaffarai, amesema
kuwa anatarajia kuondoka nchini Machi 27, kuelekea nchini Afrika Kusini kwa
ajili ya kufanya shoo nchini humo.
Alisema kuwa anaamini atatumia nafasi hiyo kulitangaza jina lake kwani ni nafasi pekee ambayo inaweza kumuweka katika kilele fulani cha mafanikio ndani ya muziki wake.
“Naenda kwa ajili ya kufanya shoo na hamna kitu kingine lakini naamini kutokana na uwezo wangu kila kitu kitaenda sawa na mashabiki wangu ambao wanaishi nchini humo watafurahi vya kutosha,” alisema.

0 comments:
Post a Comment