Hilo ndio kava la
movie mpya ya Marehemu Sharo Milionea ambayo alicheza na watu mbalimbali
akiwemo Mzee Majuto na mtoto wa mzee Majuto ambae ndio huyo hapo kushoto
anaitwa Hamza Majuto, hili ndio kava la hiyo movie kwa sasa lakini kama picha
za Sharo Milionea zilizo kwenye soft copy zitapatikana basi itabadilishwa.
Credits: Thisisdiamond.com








0 comments:
Post a Comment